Frequently Asked Questions

FAQs

Popular Question

(Find answers to all things about Pesaby)

What is Pesaby ?

Pesaby is a contribution management platform which provides an alternative way to get needed capital through friends timely and transparently. Invite friends and family, Support your friends and get the support you need. Supporting friends on Pesaby is like getting insurance in time of need.

What’s a Pesaby Team ?

A type of group that enables you to invite friends, family or colleagues to support you in raising capital is called Team. It may take maximum 72 hours to seven days to complete your cash out when you have met required criteria.

How do I meet criteria for Pesaby Team ?

Ensure all members in your group have contributed, such that you can see the 100% mark and 40% token respectively.

What do I need to use Pesaby ?

All you need is a Smartphone and an internet connection, download Pesaby on Google Play Store, Appstore and Join us by registering yourself on the App. Once you’re in check funding requests from friends, support them or create a group to get funding support you need.

Is there a Swahili version of Pesaby ?

No! Not yet.

Which Networks does Pesaby support?

Currently, we support Vodacom, Airtel and Tigo network, we hope to expand our coverage in the near future.

Payment & service Questions

Does Pesaby Charge?

Yes. Pesaby charges 2% of total amount collected as a service fee.

What’s a Pesaby Changizo ?

A type of group which requires invited members to contribute fixed amount with no discount offered in Team is called Changizo. One can cash out anytime they want.

What is second Batch

For any group that sends first contribution late in a day, such that maximum number is reached; the group will be considered second batch, meaning that they will be able to receive their funds within 72 working hours. This is due to approval rocesses; however we will do our level best to speed our approval activity so that all groups are in first batch. First Batch is any group that sends first contribution before noon, 0900-1159hrs where maximum limit in a day is not reached.

What are Pesaby working hours? Pesaby delivers its service online and is accessible 24 hrs every day. Moreover, our office hours we are open from 0900-1830 Monday to Saturday.

How do I get notified of latest offers and bonuses?

Pesaby will notify you of all incoming news on the notification tab within the application and through SMS.

Is there a way I can Reverse my contributions?

Yes; For any group that is not Token, Pesaby allows you to take your contributions instantly, if you feel there is delay of getting your Capital and you cannot wait. And the ways to do that change your group to Changizo and you will be able to Cash out immediately, service charges apply. Press the white dot on the right corner of your group dashboard and the press switch to Changizo, you will be good to withdraw.

Can I call a Pesaby representative or visit the office?

Yes! Welcome, we are located at Mbezi Beach, Makonde area along new Bagamoyo road – Dar es salaam. Contact us at 0735564640.

Maswali kwa kiswahili

(Dondoo kuhusu Pesaby na majibu yake)

Kwanini utumie Pesaby ?

Pesaby ni application inayo muwezesha mtumiaji kupata mtaji anaouhitaji kwa michango(harambee), hakuna riba, hakuna penalt, hakuna hitaji la dhamana. Pesaby inafanya kazi na mteja katika group lake la Pesaby, kwamba inatakiwa athibitishe kuwa anaaminika kwa washirika wake kumchangia takribani nusu na Pesaby itamchangia inayosalia ili apate mtaji anaoutaka. Utaratibu unatakiwa uwe na group(ushirika) kwa ajili ya kutathimin uwezo, weledi na kufahamu kuwa unaaminika huko uliko. Badae utathibitisha kuwa unapungukiwa kiasi kwa kuchagua katika orodha (inatakiwa uwe na takribani nusu ya kiasi unacho kihitaji). Ikiwa nusu hiyo huna uliotengeneza nao group (washiriki wako), wanakuchangia (harambee) kiasi kidogo kufikia nusu ya kiasi unachokitaka na hapo Pesaby inakukamilishia.

Wanapo ni changia michango inaenda wapi ?

Unapotengeneza group, kuna vitufe (button) 2, Make Payment na Withdraw. Make Payment ni rafiki zako (washirika) kukuchangia ambapo michango hiyo itaingia kwenye account yako ya Pesaby na Withdraw ni kutoa mtaji wako mara unapoona alama ya 100% na 40% Token. Kujua kiwango cha wanakikundi kukuchangia bonyeza nukta nyeupe juu kulia kwenye group lako na utaona group namba yako na chini yake ni kiasi cha kila mshirika (group member) anachotakiwa kukuchangia.

Vipi kuhusu Marejesho ?

Pesaby inatatua changamoto ya riba kubwa ambazo watu hupewa, marejesho yanayo kuumiza kichwa na penalt zinazofadhaisha. Pesaby inataka urejeshe kiasi ulicho pewa tu na unaweza rejesha kiasi chochote muda wowote ili uchukue kiasi kingine. Hakuna riba, hakuna penalt na hakuna marejesho ya lazima Pesaby lakini tutafurahi ukirejesha kiasi ulicho pewa ili Pesaby iweze kuhudumia wengine pia.

Ni namna gani kurejesha?

Kurejesha bonyeza nukta nyeupe juu kulia kwenye group lako na utaona kitufe (button) inayosomeka Post & Support, bonyeza kisha chagua mtandao wa kukamilisha marejesho yako.

Inachukua mda gani kurejesha?

Kwa Group ambalo linachangamoto ya utambulisho, msimbo au token inaweza chukua siku mbili hadi sitini za kazi ili kuhusisha wadau wengine. Si ruhusa kusajiri account holela kwa utambulisho usio halisi. Kuepuka changamoto, usitumie jina au namba ya simu yenye utata.

Nikighailisha, naweza kutoa Michango yangu Pesaby ?

Ndiyo; Kwa group ambalo sio Token, mara unapo ghaili kupata mtaji Pesaby, utaweza kutoa michango yako Pesaby mara moja kwa kubadili group lako kwenda Changizo. Utakamilisha hatua hiyo kwa kubonyeza nukta nyeupe juu kulia mwa group lako na kisha bonyeza alama ya kalamu na ubadili group kwenda changizo. Utaweza kutoa michango yako yote ndani ya dakika 60, gharama za huduma zita husishwa.

Kwanini unatengeneza group Pesaby ?

Pesaby haihitaji dhamana ya kushika, inatumia group kuthibitisha weledi na imani kwa mteja, kwamba ikiwa wanakikundi wamekuchangia ni ishara unaaminika na Pesaby itakuchangia mara moja. Kwenye mitandao ya simu kuna songesha, bustisha na kamilisha… wanatumia ukaribu wa miamala na wingi wake kukupa kiwango cha mkopo – Pesaby inatumia group kukupa mtaji wako kulingana na hali ya uchumi ulionao (imani ya rafiki zako kwako) .

Nikikosea namba ya simu ya kupokelea nifanyaje?

Inapotekea umekosea namba ya simu ya kupokelea, inashauriwa upige simu huduma kwa wateja katika mtandao unaotumia ili waweze kukupa maelekezo ya kurejesha (piga 100). Pesaby inakupa fomu ya kuhakiki muamala wako kabla ya kuruhusu pesa zitoke katika Akaunti yako. Mara unapoweka password ni kuridhia kwamba Pesa zitumwe katika namba hiyo ya simu.

Group la Pesaby ni nini ?

Group la Pesaby halina tofauti na group la Whatsapp au Instagram au Facebook, kwamba ili umuongeze rafiki yako katika group inatakiwa awe anatumia whatsapp/instagrma/facebook. Pesaby ni hivo hivo ili
umuongeze rafiki yako kwenye group la Pesaby inatakiwa awe anatumia au amejisajili Pesaby. Kama hakuna hautaona mtu wa kuongeza ambapo itabidi umwambie ajisajili Pesaby ndipo umuongeze. Hakikisha pia namba ya simu aliyojisajili Pesaby umesevu katika simu yako na hapo utaweza kumuona na
kumuongeza.

DOWNLOAD APP

Dowload Pesaby app

Pesaby app is available on Playstore & AppStore

Copyright © 2024 Pesaby. All rights reserved.